Fermer le panneau de recherche

Appuyez sur Entrée pour rechercher ou ESC pour annuler.

Job 36.24
Bible en Swahili de l’est


1 Tena Elihu akaendelea na kusema, 2 Ningojee kidogo nami nitakueleza; Kwa kuwa nikali na maneno kwa ajili ya Mungu.Job 21.3 2 Corinthiens 5.20 Hébreux 13.22 Job 13.7-13.8 Ezéchiel 2.7
3 Nitayaleta maarifa yangu kutoka mbali, Nami nitampa haki Muumba wangu.Apocalypse 15.3 Jacques 1.17 Jacques 3.17 Jacques 1.5 Psaumes 11.7
4 Kwani yakini maneno yangu si ya uongo; Aliyekamilika katika maarifa yu pamoja nawe.Job 37.16 1 Corinthiens 14.20 2 Timothée 3.16-3.17 Job 22.6-22.30 Luc 1.3
5 Tazama, Mungu ni hodari, wala hamdharau mtu ye yote; Ana uweza katika nguvu za fahamu.Psaumes 22.24 Job 37.23 Psaumes 147.5 Jérémie 10.12 Psaumes 138.6
6 Hauhifadhi uhai wa waovu; Lakini huwapa wateswao haki yao.Psaumes 72.12-72.14 Psaumes 140.12 Proverbes 22.22-22.23 Job 21.30 Esaïe 11.4
7 Yeye hawaondolei macho yake wenye haki; Lakini pamoja na wafalme huwaweka Katika viti vya enzi milele, nao hutukuzwa.Psaumes 33.18 Psaumes 34.15 Psaumes 113.7-113.8 Sophonie 3.17 2 Thessaloniciens 3.3
8 Nao wakifungwa kwa pingu, Wakitwaliwa kwa kamba za mateso;Psaumes 107.10 Proverbes 5.22 Job 19.6 Job 13.27 Psaumes 116.3
9 Ndipo huwaonyesha matendo yao, Na makosa yao, ya kuwa wametenda kwa kujivuna.1 Corinthiens 11.32 1 Timothée 1.15 Job 15.25 Luc 15.17-15.19 Psaumes 119.71
10 Yeye huyafunua masikio yao, wasikie maonyo, Na kuwaagiza warudi kuuacha uovu.Job 36.15 Esaïe 50.5 Matthieu 3.8 Esaïe 48.17 Esaïe 55.6-55.7
11 Kama wakisikia na kumtumikia, Watapisha siku zao katika kufanikiwa, Na miaka yao katika furaha.Jérémie 7.23 Deutéronome 4.30 Jérémie 26.13 Job 42.12 Apocalypse 18.7
12 Lakini wasiposikia, wataangamia kwa upanga, Nao watakufa pasipo maarifa.Job 4.21 Esaïe 3.11 Romains 2.8-2.9 Jean 8.21-8.24 Job 15.22
13 Lakini hao wasiomcha Mungu mioyoni hujiwekea hasira Hawalilii msaada hapo awafungapo.Romains 2.5 Job 36.8 2 Chroniques 28.22 2 Chroniques 28.13 Psaumes 107.10
14 Wao hufa wakali vijana, Na uhai wao huangamia katikati ya wachafu.Deutéronome 23.17 Job 22.16 Psaumes 55.23 Job 15.32 Lévitique 10.1-10.2
15 Yeye humponya aliyetaabika kwa njia ya taabu yake, Na kuyafunua masikio yao kwa maonevu.Job 36.10 2 Chroniques 12.8
16 Naam, yeye angekuongoza utoke katika msiba Hata mahali penye nafasi, ambapo hapana msonge; Na kilichowekwa mezani pako kingejaa mafuta.Psaumes 23.5 Psaumes 18.19 Psaumes 118.5 Psaumes 31.8 Psaumes 36.8
17 Lakini umejaa hukumu ya waovu; Hukumu na haki hukushika.Job 22.11 Apocalypse 18.4 Job 34.36 Job 16.5 Romains 1.32
18 Basi ujitunze, isije hasira ikakuvuta hata ukafanya mzaha; Wala usikubali ukuu wa ukombozi ukugeuze.Job 33.24 Romains 1.18 Ephésiens 5.6 Hébreux 2.3 Psaumes 49.7-49.8
19 Je! Mali yako yatatosha, hata usiwe katika taabu, Au uwezo wote wa nguvu zako?Proverbes 11.4 Proverbes 11.21 Proverbes 10.2 Jacques 5.3 Job 9.13
20 Usiutamani usiku, Wakati watu wakatwapo katika mahali pao.Job 34.25 Job 34.20 Job 3.20-3.21 Exode 12.29 1 Thessaloniciens 5.2-5.3
21 Jitunze, usiutazame uovu; Kwani umeuchagua huo zaidi ya taabu.Psaumes 66.18 Hébreux 11.25 1 Pierre 3.17 Daniel 6.10 Job 34.7-34.9
22 Tazama, Mungu hutenda makuu kwa uweza wake; Ni nani afundishaye kama yeye?Romains 13.1 Luc 1.52 1 Samuel 2.7-2.8 Daniel 4.25 Psaumes 94.10
23 Ni nani aliyemwagiza njia yake? Au ni nani awezaye kusema, Wewe umetenda yasiyo haki?1 Corinthiens 2.16 Job 8.3 Romains 2.5 Job 34.10 Ephésiens 1.11
24 Kumbuka kuitukuza kazi yake, Watu waliyoiimbia.Apocalypse 15.3 Psaumes 72.18 Luc 1.46 Psaumes 34.3 Psaumes 111.8
25 Wanadamu wote wameitazama; Watu huiangalia kwa mbali 26 Tazama, Mungu ni mkuu, nasi hatumjui; Hesabu ya miaka yake haitafutiki.Psaumes 90.2 Hébreux 1.12 Job 37.5 1 Corinthiens 13.12 Job 11.7-11.9
27 Kwani yeye huvuta juu matone ya maji, Yamwagikayo katika mvua kutoka kungeni mwake;Psaumes 147.8 Job 38.25-38.28 Job 38.34 Genèse 2.5-2.6 Esaïe 5.6
28 Ambayo mawingu yainyesha Na kudondoza juu ya wanadamu kwa wingi.Proverbes 3.20 Genèse 7.11-7.12 Job 37.11-37.13
29 Naam, mtu aweza kuelewa na matandazo ya mawingu, Ngurumo za makao yake?Job 37.16 Job 37.2-37.5 Nahum 1.3 Psaumes 104.7 Psaumes 29.3-29.10
30 Tazama, yeye huutandaza mwanga wake, umzunguke; Naye hufunika vilindi vya bahari.Job 38.34-38.35 Psaumes 18.11-18.16 Genèse 1.9 Exode 14.28 Exode 14.22
31 Kwani huwahukumu kabila za watu kwa njia hizi; Hutoa chakula kwa ukarimu.Actes 14.17 Psaumes 136.25 Job 37.13 Psaumes 104.13-104.15 Psaumes 104.27-104.28
32 Yeye huifunika mikono yake kwa umeme; Na kuuagiza shabaha utakayopiga.Exode 10.21-10.23 Psaumes 18.11 Job 26.9 Psaumes 135.7 Job 37.15
33 Mshindo wake hutoa habari zake, Anayewaka hasira juu ya uovu.Job 37.2 Joël 2.22 1 Rois 18.41-18.45 2 Samuel 22.14 Jérémie 14.4-14.6

Cette Bible est dans le domaine public.