Fermer le panneau de recherche

Appuyez sur Entrée pour rechercher ou ESC pour annuler.

Psaumes 135.1
Bible en Swahili de l’est


1 Haleluya. Lisifuni jina la Bwana, Enyi watumishi wa Bwana, sifuni.Psaumes 134.1 Psaumes 112.1 Psaumes 107.15 Psaumes 107.8 Psaumes 113.1-113.3
2 Ninyi msimamao nyumbani mwa Bwana, Nyuani mwa nyumba ya Mungu wenu.Psaumes 92.13 Psaumes 116.19 Luc 2.37 1 Chroniques 16.37-16.42 1 Chroniques 23.30
3 Msifuni Bwana kwa kuwa Bwana ni mwema, Liimbieni jina lake kwa maana lapendeza.Psaumes 147.1 Psaumes 119.68 Psaumes 63.5 Psaumes 136.1 Psaumes 118.1
4 Kwa sababu Bwana amejichagulia Yakobo, Na Israeli, wawe watu wake hasa.Deutéronome 10.15 1 Pierre 2.9 Tite 2.14 Deutéronome 7.6-7.7 Malachie 3.17
5 Maana najua mimi ya kuwa Bwana ni mkuu, Na Bwana wetu yu juu ya miungu yote.Psaumes 48.1 Psaumes 97.9 Psaumes 95.3 Deutéronome 10.17 Psaumes 89.6
6 Bwana amefanya kila lililompendeza, Katika mbingu na katika nchi, Katika bahari na katika vilindi vyote.Psaumes 115.3 Matthieu 8.26-8.27 Daniel 4.35 Psaumes 33.11 Esaïe 46.10
7 Ndiye apandishaye mvuke toka miisho ya nchi; Huifanyia mvua umeme; Hutoa upepo katika hazina zake.Jérémie 10.13 Zacharie 10.1 Jérémie 51.16 Psaumes 148.8 Job 28.25-28.26
8 Aliwapiga wazaliwa wa kwanza wa Misri, Wa wanadamu na wa wanyama.Psaumes 78.51 Exode 12.12 Psaumes 105.36 Exode 12.29-12.30 Exode 13.15
9 Alipeleka ishara na maajabu kati yako, Ee Misri, Juu ya Farao na watumishi wake wote.Psaumes 136.15 Deutéronome 6.22 Psaumes 105.27-105.29 Esaïe 51.9-51.10 Actes 7.36
10 Aliwapiga mataifa mengi, Akawaua wafalme wenye nguvu;Psaumes 136.17-136.22 Nombres 21.24 Psaumes 44.2-44.3
11 Sihoni, mfalme wa Waamori, Na Ogu, mfalme wa Bashani, Na falme zote za Kanaani.Josué 12.7-12.24 Deutéronome 29.7 Josué 10.1-10.12 Nombres 21.21-21.35 Deutéronome 2.30-3.11
12 Akaitoa nchi yao iwe urithi, Urithi wa Israeli watu wake.Psaumes 78.55 Psaumes 136.21-136.22 Nombres 33.54 Psaumes 44.1-44.3 Deutéronome 29.8
13 Ee Bwana, jina lako ni la milele, Bwana, kumbukumbu lako vizazi hata vizazi.Psaumes 102.12 Exode 3.15 Psaumes 102.21 Osée 12.5 Psaumes 8.1
14 Kwa kuwa Bwana atawaamua watu wake, Atawahurumia watumishi wake.Deutéronome 32.36 Psaumes 50.4 Psaumes 90.13 1 Chroniques 21.15 Psaumes 96.13
15 Sanamu za mataifa ni fedha na dhahabu, Kazi ya mikono ya wanadamu.Psaumes 115.4-115.8 Esaïe 37.19 Deutéronome 4.28 Esaïe 40.19-40.20 Jérémie 10.3-10.11
16 Zina vinywa lakini hazisemi, Zina macho lakini hazioni,Esaïe 6.10 Matthieu 13.14-13.16
17 Zina masikio lakini hazisikii, Wala hamna pumzi vinywani mwake. 18 Wazifanyao watafanana nazo, Na kila mmoja anayezitumainia.Esaïe 44.18-44.20 Psaumes 115.8 Psaumes 97.7 Jérémie 10.8 2 Corinthiens 4.4
19 Enyi mlango wa Israeli, mhimidini Bwana; Enyi mlango wa Haruni, mhimidini Bwana;Apocalypse 19.5 Psaumes 115.9-115.11 Psaumes 148.14 Psaumes 147.19-147.20 Psaumes 145.10
20 Enyi mlango wa Lawi, mhimidini Bwana; Ninyi mnaomcha Bwana, mhimidini Bwana. 21 Na ahimidiwe Bwana toka Sayuni, Akaaye Yerusalemu. Haleluya.Psaumes 134.3 Psaumes 132.13-132.14 Psaumes 48.1 Psaumes 128.5 Psaumes 76.2

Cette Bible est dans le domaine public.