Bénédictions après l’épreuve
 1  Mpigie Mungu kelele za shangwe, nchi yote, 
Psaumes 100.1  Psaumes 81.1  Psaumes 98.4  1 Chroniques 15.28  1 Chroniques 16.23-16.24  
 2  Imbeni utukufu wa jina lake, Tukuzeni sifa zake. 
Psaumes 107.15  Esaïe 12.4-12.6  Apocalypse 4.8-4.11  Psaumes 107.22  Psaumes 47.6-47.7  
 3  Mwambieni Mungu, Matendo yako yatisha kama nini! Kwa ajili ya wingi wa nguvu zako, Adui zako watakuja kunyenyekea mbele zako. 
Psaumes 18.44  Psaumes 65.5  Psaumes 81.15  Psaumes 47.2  Juges 5.2-5.4  
 4  Nchi yote itakusujudia na kukuimbia, Naam, italiimbia jina lako. 
Psaumes 22.27  Psaumes 117.1  Esaïe 2.2-2.4  Apocalypse 15.4  Psaumes 96.1-96.2  
 5  Njoni yatazameni matendo ya Mungu; Hutisha kwa mambo awatendayo wanadamu; 
Psaumes 46.8  Ezéchiel 1.18  Psaumes 111.2  Psaumes 66.3  Psaumes 106.22  
 6  Aligeuza bahari ikawa nchi kavu; Katika mto walivuka kwa miguu; Huko ndiko mlikomfurahia. 
Josué 3.16  Josué 3.14  Exode 14.21-14.22  Psaumes 78.13  Esaïe 63.13-63.14  
 7  Atawala kwa uweza wake milele; Macho yake yanaangalia mataifa; Waasio wasijitukuze nafsi zao. 
Psaumes 11.4  Psaumes 62.11  Daniel 6.26-6.27  Job 9.4  Daniel 5.20-5.28  
 8  Enyi mataifa, mtukuzeni Mungu wetu, Itangazeni sauti ya sifa zake; 
Psaumes 98.4  Psaumes 66.2  Psaumes 47.1  Apocalypse 5.11-5.14  Deutéronome 32.43  
 9  Aliyeiweka nafsi yetu katika uhai, Wala hakuuacha mguu wetu usogezwe. 
Psaumes 121.3  Psaumes 62.6  Psaumes 112.6  Psaumes 22.29  1 Samuel 25.29  
 10  Kwa maana umetupima, Ee Mungu, Umetujaribu inavyojaribiwa fedha. 
Esaïe 48.10  Psaumes 17.3  Zacharie 13.9  1 Pierre 1.6-1.7  Proverbes 17.3  
 11  Ulituingiza ndani ya wavu, Na kuweka viunoni mwetu mzigo uliotulemea. 
Lamentations 1.13  Matthieu 6.13  Osée 7.12  Deutéronome 33.11  Lamentations 3.2-3.66  
 12  Uliwapandisha watu Juu ya vichwa vyetu. Tulipita motoni na majini; Ukatutoa na kutuleta kunako wingi. 
Esaïe 51.23  1 Thessaloniciens 3.3-3.4  Esaïe 35.6-35.7  Psaumes 107.35-107.37  Psaumes 40.2-40.3  
 13  Nitaingia nyumbani mwako na kafara; Nitaondoa kwako nadhiri zangu; 
Ecclésiaste 5.4  Psaumes 22.25  Deutéronome 12.11-12.12  Psaumes 116.17-116.19  Psaumes 56.12  
 14  Ambazo midomo yangu ilizinena; Kinywa changu kikazisema nilipokuwa taabuni. 
Nombres 30.12  Nombres 30.2  2 Samuel 22.7  1 Samuel 1.11  Genèse 28.20-28.22  
 15  Kafara za vinono nitakutolea, Pamoja na fukizo la kondoo waume, Nitatoa ng’ombe pamoja na mbuzi. 
2 Samuel 6.13  2 Samuel 6.17-6.19  Nombres 6.14  Jérémie 41.5  1 Chroniques 16.1-16.3  
 16  Njoni, sikieni, ninyi nyote mnaomcha Mungu, Nami nitayatangaza aliyonitendea roho yangu. 
Psaumes 34.11  1 Corinthiens 15.8-15.10  Psaumes 71.15  Psaumes 22.23-22.24  Malachie 3.16  
 17  Nalimwita kwa kinywa changu, Na sifa kuu zilikuwa chini ya ulimi wangu. 
Psaumes 30.1  Psaumes 34.3-34.4  Psaumes 34.6  Psaumes 116.12  Psaumes 145.1  
 18  Kama ningaliwaza maovu moyoni mwangu, Bwana asingesikia. 
Jean 9.31  Proverbes 28.9  Esaïe 1.15  Jacques 4.3  Job 27.8-27.9  
 19  Hakika Mungu amesikia; Ameisikiliza sauti ya maombi yangu. 
Psaumes 116.1-116.2  Lamentations 3.55-3.56  Psaumes 6.9  Hébreux 5.7  Psaumes 34.6  
 20  Na ahimidiwe Mungu asiyeyakataa maombi yangu, Wala kuniondolea fadhili zake. 
2 Samuel 7.14-7.15  Psaumes 22.24  Psaumes 86.12-86.13  Psaumes 51.11  Psaumes 68.35