Fermer le panneau de recherche

Appuyez sur Entrée pour rechercher ou ESC pour annuler.

Psaumes 56.13
Bible en Swahili de l’est


1 Mungu, unirehemu, maana yuko atakaye kunimeza, Mchana kutwa ananionea akileta vita.Psaumes 69.13-69.16 Psaumes 57.1-57.3 Psaumes 16.1 Psaumes 27.2 Psaumes 58.1
2 Adui zangu wanataka kunimeza mchana kutwa, Maana waletao vita juu yangu kwa kiburi ni wengi.Psaumes 92.1 Psaumes 54.5 Psaumes 9.2 Psaumes 3.1 Psaumes 57.3
3 Siku ya hofu yangu nitakutumaini Wewe;Psaumes 55.4-55.5 Psaumes 34.4 1 Samuel 30.6 Psaumes 11.1 1 Samuel 21.10
4 Kwa msaada wa MUNGU nitalisifu neno lake. Nimemtumaini Mungu, sitaogopa; Mwenye mwili atanitenda nini?Psaumes 118.6 Hébreux 13.6 Psaumes 56.10-56.11 Psaumes 119.160 Psaumes 27.1
5 Mchana kutwa wanapotosha maneno yangu, Mawazo yao yote ni juu yangu kunitakia mabaya.2 Pierre 3.16 Esaïe 29.20-29.21 1 Samuel 20.7 Matthieu 22.15 Matthieu 26.61
6 Hukutanika, hujificha, huziangalia nyayo zangu, Kwa kuwa wameniotea nafsi yangu.Psaumes 59.3 Psaumes 71.10 Psaumes 140.2 Esaïe 54.15 Luc 20.20
7 Je! Wataokoka kwa uovu wao? Ee Mungu, uwaangamize kwa hasira yako.Psaumes 55.23 Psaumes 55.15 Psaumes 94.20-94.21 Jérémie 7.10 Habakuk 1.13
8 Umehesabu kutanga-tanga kwangu; Uyatie machozi yangu katika chupa yako; (Je! Hayamo katika kitabu chako?)Psaumes 39.12 2 Rois 20.5 Malachie 3.16 Matthieu 10.30 Psaumes 139.16
9 Ndipo adui zangu watarudi nyuma siku ile niitapo. Neno hili najua kuwa MUNGU yu upande wangu;Romains 8.31 Psaumes 118.6 Psaumes 102.2 Exode 17.9-17.11 Jean 18.6
10 Kwa msaada wa MUNGU nitalisifu neno lake. Kwa msaada wa Bwana nitalisifu neno lake.Psaumes 60.6 Psaumes 56.4 Genèse 32.11 Hébreux 6.18 2 Pierre 1.4
11 Nimemtumaini Mungu, sitaogopa; Mwanadamu atanitenda nini?Esaïe 51.12-51.13 Psaumes 112.7-112.8 Esaïe 51.7-51.8 Psaumes 27.1
12 Ee Mungu, nadhiri zako zi juu yangu; Nitakutolea dhabihu za kushukuru.Psaumes 50.14 Psaumes 9.1-9.3 1 Samuel 1.24-1.28 Esaïe 12.1 Psaumes 116.14-116.19
13 Maana umeniponya nafsi yangu na mauti; Je! Hukuizuia miguu yangu isianguke? Ili nienende mbele za Mungu Katika nuru ya walio hai.Job 33.30 Psaumes 116.8-116.9 Ephésiens 5.8-5.14 Esaïe 2.5 Jacques 5.20

Cette Bible est dans le domaine public.