Confiance dans la détresse
 1  Mungu, unirehemu, maana yuko atakaye kunimeza, Mchana kutwa ananionea akileta vita. 
Psaumes 69.13-69.16  Psaumes 57.1-57.3  Psaumes 16.1  Psaumes 27.2  Psaumes 21.9  
 2  Adui zangu wanataka kunimeza mchana kutwa, Maana waletao vita juu yangu kwa kiburi ni wengi. 
Actes 4.25-4.27  Psaumes 93.4  Psaumes 92.1  Psaumes 54.5  Psaumes 9.2  
 3  Siku ya hofu yangu nitakutumaini Wewe; 
Psaumes 34.4  Psaumes 55.4-55.5  1 Samuel 30.6  2 Corinthiens 7.5-7.6  Psaumes 11.1  
 4  Kwa msaada wa MUNGU nitalisifu neno lake. Nimemtumaini Mungu, sitaogopa; Mwenye mwili atanitenda nini? 
Psaumes 118.6  Hébreux 13.6  Psaumes 27.1  Psaumes 56.10-56.11  Psaumes 119.160  
 5  Mchana kutwa wanapotosha maneno yangu, Mawazo yao yote ni juu yangu kunitakia mabaya. 
2 Pierre 3.16  Psaumes 41.7  1 Samuel 18.29  Esaïe 29.20-29.21  1 Samuel 20.7  
 6  Hukutanika, hujificha, huziangalia nyayo zangu, Kwa kuwa wameniotea nafsi yangu. 
Psaumes 71.10  Psaumes 59.3  Psaumes 140.2  Psaumes 64.2-64.6  Actes 23.12-23.14  
 7  Je! Wataokoka kwa uovu wao? Ee Mungu, uwaangamize kwa hasira yako. 
Psaumes 55.23  Esaïe 28.15  Jérémie 18.19-18.23  Psaumes 55.15  Psaumes 94.20-94.21  
 8  Umehesabu kutanga-tanga kwangu; Uyatie machozi yangu katika chupa yako; (Je! Hayamo katika kitabu chako?) 
Psaumes 39.12  2 Rois 20.5  Malachie 3.16  Apocalypse 7.17  Matthieu 10.30  
 9  Ndipo adui zangu watarudi nyuma siku ile niitapo. Neno hili najua kuwa MUNGU yu upande wangu; 
Romains 8.31  Psaumes 118.6  Psaumes 102.2  Jérémie 33.3  Psaumes 18.38-18.42  
 10  Kwa msaada wa MUNGU nitalisifu neno lake. Kwa msaada wa Bwana nitalisifu neno lake. 
2 Pierre 1.4  Matthieu 24.35  Psaumes 60.6  Psaumes 56.4  Genèse 32.11  
 11  Nimemtumaini Mungu, sitaogopa; Mwanadamu atanitenda nini? 
Esaïe 51.7-51.8  Esaïe 51.12-51.13  Psaumes 112.7-112.8  Psaumes 27.1  
 12  Ee Mungu, nadhiri zako zi juu yangu; Nitakutolea dhabihu za kushukuru. 
Psaumes 9.1-9.3  Psaumes 50.14  Genèse 28.20-28.22  1 Samuel 1.24-1.28  Esaïe 12.1  
 13  Maana umeniponya nafsi yangu na mauti; Je! Hukuizuia miguu yangu isianguke? Ili nienende mbele za Mungu Katika nuru ya walio hai. 
Job 33.30  Psaumes 116.8-116.9  Psaumes 17.5  Psaumes 145.14  Ephésiens 5.8-5.14