Fermer le panneau de recherche

Appuyez sur Entrée pour rechercher ou ESC pour annuler.

Psaumes 3.5
Bible en Swahili de l’est


1 Bwana, watesi wangu wamezidi kuwa wengi, Ni wengi wanaonishambulia,Psaumes 17.7 Matthieu 10.21 2 Samuel 16.15 2 Samuel 17.11-17.13 Matthieu 27.25
2 Ni wengi wanaoiambia nafsi yangu, Hana wokovu huyu kwa Mungu.Psaumes 71.11 Psaumes 42.3 Psaumes 22.7 Psaumes 42.10 Habakuk 3.9
3 Na Wewe, Bwana, U ngao yangu pande zote, Utukufu wangu na mwinua kichwa changu.Psaumes 27.6 Psaumes 28.7 Psaumes 119.114 Genèse 15.1 Psaumes 18.2
4 Kwa sauti yangu namwita Bwana Naye aniitikia toka mlima wake mtakatifu.Psaumes 34.4 Psaumes 2.6 Psaumes 91.15 Esaïe 65.24 Psaumes 132.13-132.14
5 Nalijilaza nikalala usingizi, nikaamka, Kwa kuwa Bwana ananitegemeza.Psaumes 4.8 Lévitique 26.6 Proverbes 3.24 Job 11.18-11.19 Proverbes 18.10
6 Sitayaogopa makumi elfu ya watu, Waliojipanga juu yangu pande zote.Psaumes 118.10-118.12 2 Samuel 18.7 Romains 8.31 Psaumes 27.1-27.3 2 Rois 6.15-6.17
7 Bwana, uinuke, Mungu wangu, uniokoe, Maana umewapiga taya adui zangu wote; Umewavunja meno wasio haki.Psaumes 58.6 Job 16.10 Job 29.17 Psaumes 7.6 Psaumes 10.12
8 Wokovu una Bwana; Baraka yako na iwe juu ya watu wako.Esaïe 43.11 Jonas 2.9 Jérémie 3.23 Psaumes 37.39-37.40 Apocalypse 19.1

Cette Bible est dans le domaine public.