1  Mara nyingi wamenitesa tangu ujana wangu, Israeli na aseme sasa, 
Psaumes 124.1  Osée 2.15  Jérémie 2.2  Osée 11.1  Psaumes 120.1  
 2  Mara nyingi wamenitesa tangu ujana wangu, Lakini hawakuniweza. 
Matthieu 16.18  Jean 16.33  Apocalypse 12.8-12.9  Psaumes 34.19  Romains 8.35-8.39  
 3  Wakulima wamelima mgongoni mwangu, Wamefanya mirefu mifuo yao. 
Esaïe 51.23  Psaumes 141.7  
 4  Bwana ndiye mwenye haki, Amezikata kamba zao wasio haki. 
Psaumes 124.6-124.7  Néhémie 9.33  Esdras 9.15  Lamentations 1.18  Psaumes 119.137  
 5  Na waaibishwe, warudishwe nyuma, Wote wanaoichukia Sayuni. 
Esaïe 10.12  Esaïe 37.35  Esaïe 37.22  Michée 4.11  Zacharie 1.14-1.17  
 6  Na wawe kama majani ya darini Yanyaukayo kabla hayajamea. 
Psaumes 37.2  Psaumes 92.7  Jérémie 17.5-17.6  Esaïe 37.27  Matthieu 13.6  
 7  Ambayo mvunaji haujazi mkono wake, Wala mfunga miganda kifua chake. 
Galates 6.8  Psaumes 126.6  Osée 8.7  Esaïe 17.10-17.11  
 8  Wala hawasemi wapitao, Amani ya Bwana ikae nanyi, Twawabariki kwa jina la Bwana. 
Ruth 2.4  Psaumes 118.26