Fermer le panneau de recherche

Appuyez sur Entrée pour rechercher ou ESC pour annuler.

Psaumes 50.2
Bible en Swahili de l’est


1 Mungu, Mungu Bwana, amenena, ameiita nchi, Toka maawio ya jua hata machweo yake.Psaumes 113.3 Josué 22.22 Matthieu 25.32 Jérémie 10.6 Psaumes 83.1
2 Tokea Sayuni, ukamilifu wa uzuri, Mungu amemulika.Psaumes 48.2 Psaumes 80.1 Deutéronome 33.2 Psaumes 68.24 Psaumes 80.17
3 Mungu wetu atakuja wala hatanyamaza, Moto utakula mbele zake, na tufani yavuma sana ikimzunguka pande zote.Daniel 7.10 Nombres 16.35 Lévitique 10.2 Malachie 3.2-3.3 Psaumes 97.3-97.5
4 Ataziita mbingu zilizo juu, Na nchi pia awahukumu watu wake.Esaïe 1.2 Deutéronome 31.28 Deutéronome 32.1 Deutéronome 4.26 Jean 5.22-5.23
5 Nikusanyieni wacha Mungu wangu Waliofanya agano nami kwa dhabihu.Hébreux 13.20 Hébreux 12.24 Matthieu 26.28 1 Thessaloniciens 3.13 Hébreux 9.10-9.23
6 Na mbingu zitatangaza haki yake, Kwa maana Mungu ndiye aliye hakimu.Psaumes 75.7 Psaumes 97.6 Apocalypse 19.2 Psaumes 89.5 Psaumes 7.3-7.5
7 Sikieni, enyi watu wangu, nami nitanena, Mimi nitakushuhudia, Israeli; Mimi ndimi niliye MUNGU, Mungu wako.Psaumes 81.8 Exode 20.2 Malachie 3.5 Psaumes 49.1 Jérémie 2.4-2.5
8 Sitakukemea kwa ajili ya dhabihu zako, Na kafara zako ziko mbele zangu daima.Hébreux 10.4-10.10 Psaumes 40.6-40.8 Osée 6.6 Esaïe 1.11-1.31 Psaumes 51.16
9 Sitatwaa ng’ombe katika nyumba yako, Wala beberu katika mazizi yako.Psaumes 69.31 Actes 17.25 Michée 6.6-6.8 Esaïe 43.23-43.24 Hébreux 10.4-10.6
10 Maana kila hayawani ni wangu, Na makundi juu ya milima elfu.1 Chroniques 29.14-29.16 Daniel 2.38 Job 40.15-40.24 Genèse 8.17 Genèse 9.2-9.3
11 Nawajua ndege wote wa milima, Na wanyama wote wa mashamba ni wanguGenèse 1.20-1.22 Matthieu 6.26 Job 38.41 Esaïe 56.9 Job 39.13-39.18
12 Kama ningekuwa na njaa singekuambia, Maana ulimwengu ni wangu, navyo viujazavyo.Exode 19.5 Deutéronome 10.14 Psaumes 115.15-115.16 Psaumes 24.1-24.2 1 Corinthiens 10.26-10.28
13 Je! Nile nyama ya mafahali! Au ninywe damu ya mbuzi! 14 Mtolee Mungu dhabihu za kushukuru; Mtimizie Aliye juu nadhiri zako.Deutéronome 23.21 Hébreux 13.15 Psaumes 56.12 Psaumes 107.21-107.22 Psaumes 76.11
15 Ukaniite siku ya mateso; Nitakuokoa, na wewe utanitukuza.Psaumes 107.28 Psaumes 91.15 Psaumes 81.7 Zacharie 13.9 Psaumes 22.23
16 Bali mtu asiye haki, Mungu amwambia, Una nini wewe kuitangaza sheria yangu, Na kuliweka agano langu kinywani mwako?Psaumes 78.36-78.38 Romains 2.17-2.24 Matthieu 7.22-7.23 Jean 4.24 Proverbes 26.7
17 Maana wewe umechukia maonyo, Na kuyatupa maneno yangu nyuma yako.Néhémie 9.26 Proverbes 12.1 Proverbes 1.7 Jean 3.20 1 Rois 14.9
18 Ulipomwona mwivi ulikuwa radhi naye, Ukashirikiana na wazinzi.1 Timothée 5.22 Romains 1.32 Proverbes 7.19-7.23 Michée 7.3 Lévitique 20.10
19 Umekiachia kinywa chako kinene mabaya, Na ulimi wako watunga hila.Psaumes 10.7 Psaumes 52.2-52.4 Psaumes 64.3-64.5 Jacques 3.5-3.9 Psaumes 55.12
20 Umekaa na kumsengenya ndugu yako, Na mwana wa mama yako umemsingizia.Matthieu 10.21 Tite 2.3 Proverbes 10.18 1 Timothée 3.11 Apocalypse 12.10
21 Ndivyo ulivyofanya, nami nikanyamaza; Ukadhani ya kuwa Mimi ni kama wewe. Walakini nitakukemea; Nitayapanga hayo mbele ya macho yako.Esaïe 57.11 Psaumes 90.8 Ecclésiaste 8.11-8.12 Romains 2.4-2.5 Proverbes 29.1
22 Yafahamuni hayo, Ninyi mnaomsahau Mungu, Nisije nikawararueni, Asipatikane mwenye kuwaponya.Psaumes 7.2 Psaumes 9.17 Job 8.13 Ecclésiaste 7.14 Aggée 1.5
23 Atoaye dhabihu za kushukuru, Ndiye anayenitukuza. Naye autengenezaye mwenendo wake, Nitamwonyesha wokovu wa Mungu.Psaumes 91.16 Jacques 3.13 Actes 10.2-10.4 Philippiens 1.27 Psaumes 25.14

Cette Bible est dans le domaine public.