Fermer le panneau de recherche

Appuyez sur Entrée pour rechercher ou ESC pour annuler.

Psaumes 122.1
Bible en Swahili de l’est


1 Nalifurahi waliponiambia, Na twende nyumbani kwa Bwana.Michée 4.2 Esaïe 2.3 Psaumes 42.4 Psaumes 120.1 Psaumes 121.1
2 Miguu yetu imesimama Ndani ya malango yako, Ee Yerusalemu.Psaumes 84.7 2 Chroniques 6.6 Psaumes 87.1-87.3 Exode 20.24 Psaumes 100.4
3 Ee Yerusalemu uliyejengwa Kama mji ulioshikamana,2 Samuel 5.9 Ephésiens 2.20-2.21 Psaumes 147.2 Ephésiens 4.4-4.7 Néhémie 4.6
4 Huko ndiko walikopanda kabila, Kabila za Bwana; Ushuhuda kwa Israeli, Walishukuru jina la Bwana.Deutéronome 16.16 Exode 23.17 Exode 16.34 Exode 32.15 Psaumes 116.17-116.19
5 Maana huko viliwekwa viti vya hukumu, Viti vya enzi vya mbari ya Daudi.Deutéronome 17.8 2 Chroniques 19.8 2 Samuel 8.18 Deutéronome 17.18 2 Chroniques 11.22
6 Utakieni Yerusalemu amani; Na wafanikiwe wakupendao;Psaumes 51.18 Genèse 12.3 Nombres 24.9 Jérémie 51.50 Psaumes 137.6-137.7
7 Amani na ikae ndani ya kuta zako, Na kufanikiwa ndani ya majumba yako.Psaumes 48.3 Psaumes 48.13 Esaïe 9.7 Jacques 3.18 Esaïe 54.13
8 Kwa ajili ya ndugu zangu na rafiki zangu Niseme sasa, Amani ikae nawe.Ephésiens 4.4-4.6 Psaumes 119.63 Philippiens 2.2-2.5 Psaumes 16.3 Psaumes 42.4
9 Kwa ajili ya nyumba ya Bwana, Mungu wetu, Nikutafutie mema.Néhémie 2.10 Psaumes 84.10 Psaumes 69.9 Psaumes 102.13-102.14 Jean 2.17

Cette Bible est dans le domaine public.