Fermer le panneau de recherche

Appuyez sur Entrée pour rechercher ou ESC pour annuler.

Psaumes 54.2
Bible en Swahili de l’est


1 Ee Mungu, kwa jina lako uniokoe, Na kwa uweza wako unifanyie hukumu.Psaumes 20.1 1 Samuel 26.1 Psaumes 43.1-43.2 Exode 23.21 Exode 3.14-3.15
2 Ee Mungu, uyasikie maombi yangu, Uyasikilize maneno ya kinywa changu.Psaumes 143.7 Psaumes 130.2 Psaumes 55.1-55.2 Psaumes 5.1-5.3 Psaumes 13.3
3 Kwa maana wageni wamenishambulia; Watu watishao wananitafuta nafsi yangu; Hawakumweka Mungu mbele yao.Psaumes 86.14 Psaumes 36.1 Psaumes 59.3-59.5 Job 19.13-19.15 Psaumes 16.8
4 Tazama, Mungu ndiye anayenisaidia; Bwana ndiye anayenitegemeza nafsi yangu.Esaïe 41.10 Psaumes 118.6-118.7 1 Chroniques 12.18 Psaumes 41.12 Esaïe 42.1
5 Atawarudishia adui zangu ubaya wao; Uwaangamize kwa uaminifu wako.Psaumes 143.12 Psaumes 89.49 Psaumes 143.1 Psaumes 94.23 Psaumes 31.23
6 Kwa ukunjufu wa moyo nitakutolea dhabihu; Ee Bwana, nitalishukuru jina lako, maana ni jema.Psaumes 52.9 Psaumes 116.17 Psaumes 21.13 Psaumes 92.1 Psaumes 107.22
7 Kwa kuwa limeniokoa na kila taabu; Na jicho langu limeridhika Kwa kuwatazama adui zangu.Psaumes 59.10 Psaumes 92.11 Psaumes 112.8 Psaumes 91.8 2 Timothée 4.18

Cette Bible est dans le domaine public.