Fermer le panneau de recherche

Appuyez sur Entrée pour rechercher ou ESC pour annuler.

Psaumes 47.10
Bible en Swahili de l’est


1 Enyi watu wote, pigeni makofi, Mpigieni Mungu kelele kwa Sauti ya shangwe.Psaumes 98.4 Esaïe 55.12 Psaumes 46.1 2 Rois 11.12 1 Samuel 10.24
2 Kwa kuwa Bwana Aliye juu, mwenye kuogofya, Ndiye mfalme mkuu juu ya dunia yote.Malachie 1.14 Psaumes 68.35 Deutéronome 7.21 Psaumes 65.5 Psaumes 47.7
3 Atawatiisha watu wa nchi chini yetu, Na mataifa chini ya miguu yetu.Psaumes 18.47 Psaumes 110.1 Psaumes 81.14 1 Corinthiens 15.25 Philippiens 3.21
4 Atatuchagulia urithi wetu, Fahari ya Yakobo ambaye alimpenda.1 Pierre 1.4 Nahum 2.2 Amos 8.7 Amos 6.8 Deutéronome 7.6-7.8
5 Mungu amepaa kwa kelele za shangwe, Bwana kwa sauti ya baragumu.Psaumes 68.33 Psaumes 24.7-24.10 2 Samuel 6.15 Psaumes 150.3 Apocalypse 8.6-8.13
6 Mwimbieni Mungu, naam, imbeni; Mwimbieni mfalme wetu, naam, imbeni.Matthieu 25.34 Exode 15.21 Psaumes 145.1 Psaumes 89.18 Ephésiens 5.18-5.20
7 Maana Mungu ndiye mfalme wa dunia yote, Imbeni kwa akili.Zacharie 14.9 Colossiens 3.16 1 Corinthiens 14.14-14.15 Apocalypse 11.15 Psaumes 47.2
8 Mungu awamiliki mataifa, Mungu ameketi katika kiti chake kitakatifu.1 Chroniques 16.31 Psaumes 93.1 Psaumes 99.1 Psaumes 96.10 Apocalypse 20.11
9 Wakuu wa watu wamekusanyika, Wawe watu wa Mungu wa Ibrahimu. Maana ngao za dunia zina Mungu, Ametukuka sana.Psaumes 89.18 Romains 4.11-4.12 Psaumes 72.11 Genèse 17.7-17.8 Galates 3.29

Cette Bible est dans le domaine public.