Fermer le panneau de recherche

Appuyez sur Entrée pour rechercher ou ESC pour annuler.

Psaumes 146.6
Bible en Swahili de l’est


1 Haleluya. Ee nafsi yangu, umsifu Bwana.Psaumes 103.1 Psaumes 105.45 Psaumes 104.35 Psaumes 103.22-104.1
2 Nitamsifu Bwana muda ninaoishi, Nitamwimbia Mungu wangu ningali ni hai.Psaumes 104.33 Psaumes 63.4 Apocalypse 7.9-7.17 Psaumes 71.14-71.15 Psaumes 145.1-145.2
3 Msiwatumainie wakuu, Wala binadamu ambaye hakuna wokovu kwake.Psaumes 118.8-118.9 Esaïe 2.22 Esaïe 37.6 Jérémie 17.5-17.6 Psaumes 60.11
4 Pumzi yake hutoka, huurudia udongo wake, Siku hiyo mawazo yake yapotea.Ecclésiaste 12.7 Psaumes 104.29 Genèse 2.7 1 Corinthiens 2.6 Genèse 3.19
5 Heri ambaye Mungu wa Yakobo ni msaada wake, Na tumaini lake ni kwa Bwana, Mungu wake,Psaumes 71.5 Psaumes 144.15 Jérémie 17.7-17.8 Exode 3.6 Psaumes 33.12
6 Aliyezifanya mbingu na nchi, Bahari na vitu vyote vilivyomo. Huishika kweli milele,Apocalypse 14.7 Tite 1.2 Colossiens 1.16 Hébreux 6.18 Psaumes 100.5
7 Huwafanyia hukumu walioonewa, Huwapa wenye njaa chakula; Bwana hufungua waliofungwa;Psaumes 68.6 Psaumes 103.6 Esaïe 61.1 Actes 16.26 Actes 5.19
8 Bwana huwafumbua macho waliopofuka; Bwana huwainua walioinama; Bwana huwapenda wenye haki;Matthieu 9.30 Psaumes 145.14 Psaumes 11.7 Psaumes 147.6 Esaïe 42.16
9 Bwana huwahifadhi wageni; Huwategemeza yatima na mjane; Bali njia ya wasio haki huipotosha.Psaumes 68.5 Jérémie 49.11 Psaumes 147.6 Job 5.12-5.14 Deutéronome 16.11
10 Bwana atamiliki milele, Mungu wako, Ee Sayuni, kizazi hata kizazi. Haleluya.Psaumes 10.16 Exode 15.18 Psaumes 147.12 Esaïe 12.6 Esaïe 40.9

Cette Bible est dans le domaine public.