Portrait de l’homme impie
 1  Mpumbavu amesema moyoni, Hakuna Mungu; Wameharibu matendo yao na kuyafanya chukizo, Hakuna atendaye mema. 
Psaumes 10.4  Romains 3.10-3.12  Romains 1.21-1.32  Genèse 6.5  Luc 12.20  
 2  Toka mbinguni Bwana aliwachungulia wanadamu, Aone kama yuko mtu mwenye akili, Amtafutaye Mungu. 
Psaumes 33.13-33.14  Genèse 6.12  Romains 3.11  Hébreux 11.6  2 Chroniques 19.3  
 3  Wote wamepotoka, wameoza wote pamoja, Hakuna atendaye mema, La! Hata mmoja. 
Romains 3.10-3.12  Job 14.4  Esaïe 59.13-59.15  Esaïe 64.6  Esaïe 53.6  
 4  Je! Wote wafanyao maovu hawajui? Walao watu wangu kama walavyo mkate, Hawamwiti Bwana. 
Esaïe 64.7  Jérémie 10.25  Psaumes 79.6  Amos 8.4  Psaumes 27.2  
 5  Hapo ndipo walipoingiwa na hofu nyingi, Maana Mungu yupo pamoja na kizazi cha haki. 
Psaumes 73.15  Psaumes 112.2  Psaumes 24.6  1 Pierre 2.9  Esaïe 41.10  
 6  Mnalitia aibu shauri la mtu mnyonge, Bali Bwana ndiye aliye kimbilio lake. 
Psaumes 9.9  Psaumes 42.10  Psaumes 4.2  Ezéchiel 35.10  Daniel 3.15  
 7  Laiti wokovu wa Israeli utoke katika Sayuni! Bwana awarudishapo wafungwa wa watu wake; Yakobo atashangilia, Israeli atafurahi. 
Psaumes 53.6  Psaumes 85.1