Fermer le panneau de recherche

Appuyez sur Entrée pour rechercher ou ESC pour annuler.

Psaumes 114.2
Bible en Swahili de l’est


1 Haleluya. Israeli alipotoka Misri, Na Yakobo katika watu wa lugha ya kigeni.Psaumes 81.5 Exode 13.3 Genèse 42.23 Deutéronome 16.1 Exode 20.2
2 Yuda ilikuwa patakatifu pake, Israeli milki yake.Exode 29.45-29.46 Exode 25.8 Lévitique 11.45 Deutéronome 23.14 Deutéronome 27.12
3 Bahari iliona ikakimbia, Yordani ilirudishwa nyuma.Psaumes 77.16 Exode 14.21 Josué 3.13-3.16 Psaumes 74.15 Habakuk 3.8-3.9
4 Milima iliruka kama kondoo waume, Vilima kama wana-kondoo.Exode 19.18 Juges 5.4-5.5 Habakuk 3.6 Exode 20.18 2 Pierre 3.7-3.11
5 Ee bahari, una nini, ukimbie? Yordani, urudi nyuma?Habakuk 3.8 Jérémie 47.6-47.7
6 Enyi milima, mruke kama kondoo waume? Enyi vilima, kama wana-kondoo?Psaumes 29.6 Psaumes 114.4
7 Tetemeka, Ee nchi, mbele za uso wa Bwana, Mbele za uso wa Mungu wa Yakobo.Esaïe 64.1-64.3 Psaumes 96.9 Psaumes 97.4-97.5 Jérémie 5.22 Job 9.6
8 Augeuza mwamba kuwa ziwa la maji, Jiwe gumu kuwa chemchemi.Deutéronome 8.15 Psaumes 107.35 Nombres 20.11 Exode 17.6 Psaumes 105.41

Cette Bible est dans le domaine public.