Fermer le panneau de recherche

Appuyez sur Entrée pour rechercher ou ESC pour annuler.

Psaumes 113.9
Bible en Swahili de l’est


1 Haleluya. Enyi watumishi wa Bwana, sifuni, Lisifuni jina la Bwana.Psaumes 103.20-103.21 Psaumes 112.1 Psaumes 69.36 Psaumes 135.1-135.3 Psaumes 33.1-33.2
2 Jina la Bwana lihimidiwe Tangu leo na hata milele.Daniel 2.20 Psaumes 41.13 Psaumes 106.48 1 Chroniques 16.36 Ephésiens 3.21
3 Toka maawio ya jua hata machweo yake Jina la Bwana husifiwa.Esaïe 59.19 Malachie 1.11 Esaïe 24.16 Psaumes 50.1 Psaumes 18.3
4 Bwana ni mkuu juu ya mataifa yote, Na utukufu wake ni juu ya mbingu.Psaumes 99.2 Psaumes 8.1 Psaumes 97.9 Psaumes 148.13 Esaïe 66.1
5 Ni nani aliye mfano wa Bwana, Mungu wetu aketiye juu;Exode 15.11 Psaumes 89.6 Jérémie 10.6 Deutéronome 33.26 Esaïe 40.25
6 Anyenyekeaye kutazama, Mbinguni na duniani?Psaumes 11.4 Psaumes 138.6 Esaïe 57.15 Esaïe 66.2 Esaïe 6.2
7 Humwinua mnyonge kutoka mavumbini, Na kumpandisha maskini kutoka jaani.Psaumes 107.41 1 Samuel 2.7-2.8 Job 2.8 Jacques 2.5 Job 5.11
8 Amketishe pamoja na wakuu, Pamoja na wakuu wa watu wake.Job 36.7 Apocalypse 5.9-5.10 Genèse 41.41 Psaumes 68.13 Philippiens 2.8-2.11
9 Huweka nyumbani mwanamke aliye tasa, Awe mama ya watoto mwenye furaha.Psaumes 68.6 Esaïe 54.1 1 Samuel 2.5 Genèse 30.22-30.23 Genèse 25.21

Cette Bible est dans le domaine public.