Fermer le panneau de recherche

Appuyez sur Entrée pour rechercher ou ESC pour annuler.

Psaumes 113
Bible en Swahili de l’est


1 Haleluya. Enyi watumishi wa Bwana, sifuni, Lisifuni jina la Bwana. Psaumes 112.1 Psaumes 69.36 Psaumes 135.1-135.3 Psaumes 33.1-33.2 Psaumes 135.20
2 Jina la Bwana lihimidiwe Tangu leo na hata milele. Daniel 2.20 Psaumes 106.48 1 Chroniques 16.36 Ephésiens 3.21 Apocalypse 5.13
3 Toka maawio ya jua hata machweo yake Jina la Bwana husifiwa. Esaïe 59.19 Malachie 1.11 Psaumes 18.3 Habakuk 2.14 Esaïe 42.10-42.12
4 Bwana ni mkuu juu ya mataifa yote, Na utukufu wake ni juu ya mbingu. Psaumes 99.2 Psaumes 8.1 Psaumes 97.9 Esaïe 66.1 Esaïe 40.17
5 Ni nani aliye mfano wa Bwana, Mungu wetu aketiye juu; Exode 15.11 Psaumes 89.6 Deutéronome 33.26 Esaïe 40.25 Jérémie 10.6
6 Anyenyekeaye kutazama, Mbinguni na duniani? Psaumes 138.6 Psaumes 11.4 Esaïe 57.15 Esaïe 66.2 Esaïe 6.2
7 Humwinua mnyonge kutoka mavumbini, Na kumpandisha maskini kutoka jaani. Psaumes 107.41 1 Samuel 2.7-2.8 Job 5.11 2 Samuel 7.8-7.9 Job 2.8
8 Amketishe pamoja na wakuu, Pamoja na wakuu wa watu wake. Job 36.7 Genèse 41.41 Psaumes 68.13 Philippiens 2.8-2.11 Psaumes 45.16
9 Huweka nyumbani mwanamke aliye tasa, Awe mama ya watoto mwenye furaha. Psaumes 68.6 Esaïe 54.1 1 Samuel 2.5 Genèse 25.21 Luc 1.13-1.15

Cette Bible est dans le domaine public.