Fermer le panneau de recherche

Appuyez sur Entrée pour rechercher ou ESC pour annuler.

Psaumes 70
Bible en Swahili de l’est


1 Ee Mungu, uniokoe, Ee Bwana, unisaidie hima. Psaumes 40.13-40.17 Psaumes 38.1 2 Samuel 17.1-17.21 Psaumes 143.7 Psaumes 71.12
2 Waaibike, wafedheheke, Wanaoitafuta nafsi yangu. Warudishwe nyuma, watahayarishwe, Wapendezwao na shari yangu. Psaumes 35.4 Psaumes 35.26 Jean 18.6 Psaumes 71.13 Psaumes 109.29
3 Warudi nyuma, na iwe aibu yao, Wanaosema, Ewe! Ewe! Psaumes 40.15 Proverbes 24.17-24.18 Psaumes 35.21 Ezéchiel 36.2 Actes 1.18
4 Washangilie, wakufurahie, Wote wakutafutao. Waupendao wokovu wako Waseme daima, Atukuzwe Mungu. Psaumes 5.11 Lamentations 3.25 Psaumes 97.12 Psaumes 35.27 Esaïe 65.13-65.14
5 Nami ni maskini na mhitaji, Ee Mungu, unijilie kwa haraka. Ndiwe msaada wangu na mwokozi wangu, Ee Bwana, usikawie. Psaumes 141.1 Psaumes 40.17 Psaumes 69.29 Psaumes 13.1-13.2 Psaumes 109.22

Cette Bible est dans le domaine public.