Fermer le panneau de recherche

Appuyez sur Entrée pour rechercher ou ESC pour annuler.

Psaumes 52.6
Bible en Swahili de l’est


1 Kwa nini kujisifia uovu, Ewe jabari? Wema wa Mungu upo sikuzote.Psaumes 94.4 1 Samuel 21.7 Psaumes 107.1 Psaumes 103.17 Exode 22.9
2 Ulimi wako watunga madhara, Kama wembe mkali, Ewe mwenye hilaProverbes 18.21 Psaumes 57.4 Proverbes 12.18 Psaumes 59.7 Psaumes 140.2-140.3
3 Umependa mabaya kuliko mema, Na uongo kuliko kusema kweli.Jérémie 9.8 Jérémie 9.3-9.5 Michée 3.2 Jérémie 4.22 Jean 8.44
4 Umependa maneno yote ya kupoteza watu, Ewe ulimi wenye hila.Psaumes 120.3 Jacques 3.6-3.9 1 Samuel 22.18-22.19
5 Lakini Mungu atakuharibu hata milele; Atakuondolea mbali; Atakunyakua hemani mwako; Atakung’oa katika nchi ya walio hai.Psaumes 27.13 Proverbes 2.22 Psaumes 7.14-7.16 Psaumes 37.35-37.36 Psaumes 120.2-120.4
6 Nao wenye haki wataona; Wataingiwa na hofu na kumcheka;Psaumes 40.3 Psaumes 37.34 Job 22.19 Esaïe 37.22 Psaumes 64.9
7 Kumbe! Huyu ndiye mtu yule, Asiyemfanya Mungu kuwa nguvu zake. Aliutumainia wingi wa mali zake, Na kujifanya hodari kwa madhara yake.Ecclésiaste 8.8 Psaumes 62.9-62.10 Jérémie 17.5 Psaumes 73.7-73.11 1 Timothée 6.17
8 Bali mimi ni kama mzeituni Umeao katika nyumba ya Mungu. Nazitumainia fadhili za Mungu milele na milele.Jérémie 11.16 Psaumes 92.12-92.14 Psaumes 13.5 Psaumes 1.3 Psaumes 128.3
9 Nitakushukuru milele kwa maana umetenda; Nitalingojea jina lako kwa kuwa ni jema; Mbele ya wacha Mungu wako.Psaumes 54.6 Psaumes 48.9-48.10 Psaumes 40.1 Psaumes 73.28 Psaumes 73.25-73.26

Cette Bible est dans le domaine public.