Fermer le panneau de recherche

Appuyez sur Entrée pour rechercher ou ESC pour annuler.

Psaumes 126.2
Bible en Swahili de l’est


1 Bwana alipowarejeza mateka wa Sayuni, Tulikuwa kama waotao ndoto.Osée 6.11 Jérémie 31.8-31.10 Psaumes 85.1 Joël 3.1 Psaumes 120.1
2 Ndipo kinywa chetu kilipojaa kicheko, Na ulimi wetu kelele za furaha. Ndipo waliposema katika mataifa, Bwana amewatendea mambo makuu.Job 8.21 Psaumes 71.19 Jérémie 31.12-31.13 Esaïe 35.10 Zacharie 8.22-8.23
3 Bwana alitutendea mambo makuu, Tulikuwa tukifurahi.Apocalypse 19.1-19.7 Psaumes 31.19 Esaïe 51.9-51.11 Psaumes 18.50 Esaïe 25.9
4 Ee Bwana, uwarejeze watu wetu waliofungwa, Kama vijito vya Kusini.Psaumes 85.4 Esaïe 41.18 Esaïe 43.19 Psaumes 126.1 Osée 1.11
5 Wapandao kwa machozi Watavuna kwa kelele za furaha.Galates 6.9 Esaïe 35.10 Jean 16.20-16.22 2 Corinthiens 7.8-7.11 Psaumes 137.1
6 Ingawa mtu anakwenda zake akilia, Azichukuapo mbegu za kupanda. Hakika atarudi kwa kelele za furaha, Aichukuapo miganda yake.Psaumes 30.5 Jérémie 50.4-50.5 Esaïe 9.2-9.3 Galates 6.7-6.8 Esaïe 61.3

Cette Bible est dans le domaine public.