Fermer le panneau de recherche

Appuyez sur Entrée pour rechercher ou ESC pour annuler.

Psaumes 124.5
Bible en Swahili de l’est


1 Kama si Bwana aliyekuwa pamoja nasi, Israeli na aseme sasa,Psaumes 129.1 Psaumes 54.4 Psaumes 120.1 Romains 8.31 Psaumes 121.1
2 Kama si Bwana aliyekuwa pamoja nasi, Wanadamu walipotushambulia.Psaumes 3.1 Nombres 16.2-16.3 Psaumes 22.12-22.13 Psaumes 22.16 Psaumes 37.32
3 Papo hapo wangalitumeza hai, Hasira yao ilipowaka juu yetuPsaumes 35.25 Proverbes 1.12 Psaumes 57.3 Psaumes 76.10 Nombres 16.30-16.34
4 Papo hapo maji yangalitugharikisha, Mto ungalipita juu ya roho zetu;Psaumes 42.7 Psaumes 69.2 Psaumes 32.6 Job 22.11 Apocalypse 17.15
5 Papo hapo yangalipita juu ya nafsi zetu Maji yafurikayo.Job 38.11 Jérémie 5.22 Psaumes 93.3-93.4
6 Na ahimidiwe Bwana; Asiyetutoa kuwa mawindo kwa meno yao.Psaumes 118.13 Juges 5.30-5.31 Exode 15.9-15.10 Psaumes 145.5-145.6 Psaumes 17.9
7 Nafsi yetu imeokoka kama ndege Katika mtego wa wawindaji, Mtego umevunjika, nasi tumeokoka.Psaumes 91.3 Proverbes 6.5 Jérémie 18.22 Psaumes 25.15 2 Samuel 17.21-17.22
8 Msaada wetu u katika jina la Bwana, Aliyezifanya mbingu na nchi.Psaumes 134.3 Psaumes 121.2 Genèse 1.1 Psaumes 115.15 Actes 4.24

Cette Bible est dans le domaine public.