Fermer le panneau de recherche

Appuyez sur Entrée pour rechercher ou ESC pour annuler.

Job 25.2
Bible en Swahili de l’est


1 Ndipo Bildadi, Mshuhi, akajibu, na kusema, 2 Enzi na hofu zi pamoja naye; Hufanya amani katika mahali pake palipoinuka.Colossiens 1.20 Jérémie 10.6-10.7 Esaïe 57.15 Job 40.9-40.14 Ephésiens 1.20-1.21
3 Je! Majeshi yake yahesabika? Ni nani asiyetokewa na mwanga wake?Jacques 1.17 Matthieu 5.45 Matthieu 26.53 Genèse 1.3-1.5 Jean 1.4
4 Basi mtu awezaje kuwa na haki mbele ya Mungu? Au awezaje kuwa safi aliyezaliwa na mwanamke?Job 15.14-15.16 Job 9.2 Romains 5.1 Psaumes 130.3 Job 4.17-4.19
5 Tazama, hata mwezi hauangazi, Wala nyota si safi machoni pake;Esaïe 60.19-60.20 Job 15.15 Esaïe 24.23 2 Corinthiens 3.10 Job 31.26
6 Siuze mtu, aliye mdudu! Na mwanadamu, ambaye ni buu!Esaïe 41.14 Psaumes 22.6 Genèse 18.27 Job 4.19 Job 7.17

Cette Bible est dans le domaine public.