Fermer le panneau de recherche

Appuyez sur Entrée pour rechercher ou ESC pour annuler.

Psaumes 87.2
Bible en Swahili de l’est


1 Msingi wake upo Juu ya milima mitakatifu.Esaïe 28.16 1 Corinthiens 3.10-3.11 Matthieu 16.18 Psaumes 48.1-48.2 Esaïe 2.2-2.3
2 Bwana ayapenda malango ya Sayuni Kuliko maskani zote za Yakobo.Psaumes 132.13-132.14 Psaumes 78.67-78.69 Joël 2.32 Deutéronome 12.5 Esaïe 14.32
3 Umetajwa kwa mambo matukufu, Ee Mji wa Mungu.Ezéchiel 36.11-36.38 Apocalypse 21.10-21.27 Ezéchiel 37.27-37.28 Psaumes 46.4 Hébreux 12.22-12.23
4 Nitataja Rahabu na Babeli Miongoni mwao wanaonijua. Tazama Filisti, na Tiro, na Kushi; Huyu alizaliwa humo.Psaumes 45.12 Psaumes 68.31 Esaïe 19.23-19.25 Job 9.13 Psaumes 89.10
5 Naam, mintarafu Sayuni itasemwa, Huyu na huyu alizaliwa humo. Na Yeye Aliye juu Ataufanya imara.Hébreux 11.32-12.2 1 Pierre 1.23-1.24 Galates 3.26-3.28 Ezéchiel 48.35 Romains 8.31
6 Bwana atahesabu, awaandikapo mataifa, Huyu alizaliwa humo.Esaïe 4.3 Philippiens 4.3 Apocalypse 20.15 Ezéchiel 13.9 Psaumes 69.28
7 Waimbao na wachezao na waseme, Visima vyangu vyote vimo mwako.Esaïe 12.3 Psaumes 36.9 1 Chroniques 23.5 Psaumes 46.4 2 Samuel 6.14

Cette Bible est dans le domaine public.