1 Katika Yuda Mungu amejulikana, Katika Israeli jina lake ni kuu.
Psaumes 4.1  Psaumes 147.19-147.20  Psaumes 54.1  1 Chroniques 29.10-29.12  2 Chroniques 2.5-2.6  
 2 Kibanda chake pia kiko Salemu, Na maskani yake iko Sayuni.
Genèse 14.18  Psaumes 9.11  Hébreux 7.1-7.2  Esaïe 12.6  2 Chroniques 6.6  
 3 Huko ndiko alikoivunja mishale ya uta, Ngao, na upanga, na zana za vita.
Psaumes 46.9  Ezéchiel 39.3-39.4  Ezéchiel 39.9-39.10  Esaïe 37.35-37.36  2 Chroniques 32.21  
 4 Wewe U mwenye fahari na adhama, Toka milima ya mateka.
Ezéchiel 19.1-19.4  Jérémie 4.7  Ezéchiel 38.12-38.13  Ezéchiel 19.6  Daniel 7.17-7.28  
 5 Wametekwa wenye moyo thabiti; Wamelala usingizi; Wala hawakuiona mikono yao Watu wote walio hodari.
Esaïe 46.12  Psaumes 13.3  Nahum 3.18  Jérémie 51.39  Job 40.10-40.12  
 6 Kwa kukemea kwako, Ee Mungu wa Yakobo, Gari na farasi wameshikwa na usingizi mzito.
Exode 15.1  Exode 15.21  Psaumes 80.16  Exode 14.27-14.28  2 Samuel 10.18  
 7 Wewe ndiwe utishaye, naam, Wewe; Naye ni nani awezaye kusimama ufanyapo hasira?
Nahum 1.6  Psaumes 89.7  Psaumes 130.3  Matthieu 10.28  1 Corinthiens 10.22  
 8 Toka mbinguni ulitangaza hukumu; Nchi iliogopa, ikakaa kimya.
2 Chroniques 20.29-20.30  Habakuk 2.20  Psaumes 46.10  2 Chroniques 32.20-32.22  Exode 19.10  
 9 Mungu aliposimama ili kuhukumu Na kuwaokoa wapole wa dunia wote pia.Psaumes 9.7-9.9  Matthieu 5.5  Esaïe 11.4  Psaumes 72.4  Sophonie 2.3  
 10 Maana hasira ya binadamu itakusifu, Masalio ya hasira utajifunga kama mshipi.
Genèse 50.20  Daniel 3.19-3.20  Romains 9.17  Psaumes 65.7  Exode 15.9-15.11  
 11 Wekeni nadhiri, mkaziondoe Kwa Bwana, Mungu wenu. Wote wanaomzunguka wamletee hedaya, Yeye astahiliye kuogopwa.
Psaumes 68.29  Psaumes 50.14  Genèse 31.42  Psaumes 89.7  Ecclésiaste 5.4-5.6  
 12 Yeye huzikata roho za wakuu; Na kuwatisha wafalme wa dunia.
Sophonie 3.6  Psaumes 68.12  Psaumes 48.4-48.6  Psaumes 2.5  2 Chroniques 32.21