Victoire de la puissance de Dieu
 1  Katika Yuda Mungu amejulikana, Katika Israeli jina lake ni kuu. 
Psaumes 4.1  Daniel 4.1-4.2  Deutéronome 4.7-4.8  Romains 2.17-3.2  Psaumes 67.1  
 2  Kibanda chake pia kiko Salemu, Na maskani yake iko Sayuni. 
Genèse 14.18  Psaumes 132.13-132.14  Lamentations 2.6  Psaumes 27.5  Psaumes 9.11  
 3  Huko ndiko alikoivunja mishale ya uta, Ngao, na upanga, na zana za vita. 
Psaumes 46.9  Ezéchiel 39.9-39.10  Ezéchiel 39.3-39.4  2 Chroniques 14.12-14.13  Esaïe 37.35-37.36  
 4  Wewe U mwenye fahari na adhama, Toka milima ya mateka. 
Ezéchiel 19.1-19.4  Daniel 7.17-7.28  Daniel 7.4-7.8  Jérémie 4.7  Ezéchiel 38.12-38.13  
 5  Wametekwa wenye moyo thabiti; Wamelala usingizi; Wala hawakuiona mikono yao Watu wote walio hodari. 
Esaïe 46.12  Psaumes 13.3  Nahum 3.18  Jérémie 51.39  Daniel 4.37  
 6  Kwa kukemea kwako, Ee Mungu wa Yakobo, Gari na farasi wameshikwa na usingizi mzito. 
Exode 15.1  Exode 15.21  Psaumes 80.16  Nahum 3.18  Jérémie 51.57  
 7  Wewe ndiwe utishaye, naam, Wewe; Naye ni nani awezaye kusimama ufanyapo hasira? 
Nahum 1.6  Psaumes 89.7  Apocalypse 15.4  Esdras 9.15  Apocalypse 6.16-6.17  
 8  Toka mbinguni ulitangaza hukumu; Nchi iliogopa, ikakaa kimya. 
2 Chroniques 20.29-20.30  Habakuk 2.20  1 Chroniques 16.30  Juges 5.20  Zacharie 2.13  
 9  Mungu aliposimama ili kuhukumu Na kuwaokoa wapole wa dunia wote pia. 
Psaumes 149.4  Psaumes 82.2-82.5  Jérémie 5.28  Psaumes 9.7-9.9  Matthieu 5.5  
 10  Maana hasira ya binadamu itakusifu, Masalio ya hasira utajifunga kama mshipi. 
Apocalypse 11.18  Actes 12.3-12.19  Genèse 37.26-37.28  Psaumes 46.6  Exode 18.11  
 11  Wekeni nadhiri, mkaziondoe Kwa Bwana, Mungu wenu. Wote wanaomzunguka wamletee hedaya, Yeye astahiliye kuogopwa. 
Psaumes 68.29  Psaumes 50.14  Ecclésiaste 5.4-5.6  Genèse 31.42  Psaumes 89.7  
 12  Yeye huzikata roho za wakuu; Na kuwatisha wafalme wa dunia. 
Psaumes 68.12  Sophonie 3.6  Esaïe 13.6-13.8  Psaumes 47.2  Psaumes 48.4-48.6