Fermer le panneau de recherche

Appuyez sur Entrée pour rechercher ou ESC pour annuler.

Psaumes 93
Bible en Swahili de l’est


1 Bwana ametamalaki, amejivika adhama, Bwana amejivika, na kujikaza nguvu. Naam, ulimwengu umethibitika usitikisike; Psaumes 96.10 Psaumes 65.6 Psaumes 97.1 Esaïe 45.18 Psaumes 99.1
2 Kiti chako kimekuwa thabiti tokea zamani; Wewe ndiwe uliye tangu milele. Psaumes 45.6 Psaumes 90.2 Apocalypse 2.8 Michée 5.2 Daniel 4.34
3 Ee Bwana, mito imepaza, Mito imepaza sauti zake, Mito imepaza uvumi wake. Psaumes 96.11 Psaumes 18.4 Psaumes 69.1-69.2 Psaumes 124.3-124.5 Esaïe 55.12
4 Kupita sauti ya maji mengi, maji makuu, Kupita mawimbi ya bahari yaumkayo, Bwana Aliye juu ndiye mwenye ukuu. Psaumes 65.7 Psaumes 89.6 Psaumes 89.9 Job 38.11 Marc 4.37-4.39
5 Shuhuda zako ni amini sana; Utakatifu ndio uifaao nyumba yako, Ee Bwana, milele na milele. Psaumes 29.2 Lévitique 19.2 Jean 4.24 Hébreux 12.14 Hébreux 6.17-6.18

Cette Bible est dans le domaine public.