Fermer le panneau de recherche

Appuyez sur Entrée pour rechercher ou ESC pour annuler.

Psaumes 131.1
Bible en Swahili de l’est


1 Bwana, moyo wangu hauna kiburi, Wala macho yangu hayainuki. Wala sijishughulishi na mambo makuu, Wala na mambo yashindayo nguvu zangu.Romains 12.16 Job 42.3 Psaumes 101.5 Psaumes 139.6 Jérémie 45.5
2 Hakika nimeituliza nafsi yangu, Na kuinyamazisha. Kama mtoto aliyeachishwa Kifuani mwa mama yake; Kama mtoto aliyeachishwa, Ndivyo roho yangu ilivyo kwangu.1 Corinthiens 14.20 Esaïe 30.15 Jean 14.1-14.2 Matthieu 18.3-18.4 Marc 10.15
3 Ee Israeli, umtarajie Bwana, Tangu leo na hata milele.Psaumes 130.7 Esaïe 26.4 Psaumes 146.5 Psaumes 115.9-115.11 Jérémie 17.7-17.8

Cette Bible est dans le domaine public.