Confiance dans l’intervention de Dieu
1 Bwana ndiye niliyemkimbilia. Mbona mnaiambia nafsi yangu, Kimbia kama ndege mlimani kwenu?
Psaumes 56.11 1 Samuel 23.14 Psaumes 7.1 1 Samuel 20.38 1 Samuel 19.11
2 Maana, tazama, wasio haki wanaupinda uta, Wanaitia mishale yao katika upote, Ili kuwapiga gizani wanyofu wa moyo.
Psaumes 21.12 Jérémie 9.3 Psaumes 37.14 Psaumes 7.10 Psaumes 10.2
3 Kama misingi ikiharibika, Mwenye haki atafanya nini?Psaumes 82.5 2 Timothée 2.19 Actes 4.24-4.33 Daniel 3.15-3.18 2 Chroniques 32.13-32.15
4 Bwana yu katika hekalu lake takatifu. Bwana ambaye kiti chake kiko mbinguni, Macho yake yanaangalia; Kope zake zinawajaribu wanadamu.
Psaumes 103.19 Psaumes 18.6 Esaïe 66.1 Habakuk 2.20 Matthieu 5.34
5 Bwana humjaribu mwenye haki; Bali nafsi yake humchukia asiye haki, Na mwenye kupenda udhalimu.
Jacques 1.12 Genèse 22.1 Psaumes 17.3 1 Pierre 1.7 Psaumes 5.4-5.5
6 Awanyeshee wasio haki mitego, Moto na kiberiti na upepo wa hari, Na viwe fungu la kikombe chao.
Ezéchiel 38.22 Genèse 19.24 Psaumes 75.8 Job 18.15 Exode 9.23-9.24
7 Kwa kuwa Bwana ndiye mwenye haki, Apenda matendo ya haki, Wanyofu wa moyo watamwona uso wake.
Psaumes 45.7 Psaumes 17.15 Psaumes 33.5 Psaumes 7.9 Psaumes 99.4